| ★ | NTV yabaini kuwa maafa ya Kwa Kamari, Mwingi yangeepukika iwapo wangekuwa na 'pawa' | | 34.4K | Kenia | |
| 7 | Wakazi katika mpaka wa Kenya na Uganda wapata huduma za matibabu bila malipo | | — | Kenia | 82 |
| 8 | Maelfu ya abiria wa ndege wapata hasara kutokana na mgomo wa chama cha wafanyakazi wa safari za anga | | — | Kenia | 82 |
| 11 | Huzuni yatanda katika mazishi ya Shantel Waruguru wa miaka 10, anayedaiwa kubakwa na kuuawa kikatili | | — | Kenia | 81 |
| 1 | Wakazi wa Kakamega walalamikia toroli zinazobeba maiti wakisema zinawatia wasiwasi wagonjwa | | 43.3K | Kenia | 84 |
| 19 | Siasa na ODM zakabiliwa na mvutano baada ya miezi sita baada ya kifo cha Raila Odinga, | KTN News Kenya @ktnnews_kenya | 37.2K | Kenia | 80 |
| 9 | Washukiwa wawili wakamatwa Githunguri kwa madai ya utekaji na mauaji ya mtoto mdogo | KTN News Kenya @ktnnews_kenya | 17.2K | Kenia | 81 |
| 10 | Chama cha malori chaagiza ongezeko la nauli kwa asilimia 30 kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta | KTN News Kenya @ktnnews_kenya | 13.8K | Kenia | 81 |
| 14 | Waogeleaji wa Kisumu wako tayari kuandikisha matokeo ya kufana katika mashindano ya kitaifa | | 4.3K | Kenia | 81 |
| 17 | Salma Gureye, anayekabiliwa kashfa inayohusishwa na zaidi ya USD 394,000 afika mahakamani | | 4.1K | Kenia | 80 |
| 2 | Wakulima kutoka Trans Nzoia wahimizwa kukumbatia teknolojia za kisasa ili kuongeza uzalishaji | | 3.3K | Kenia | 84 |
| 3 | Wakaazi wa Rift Valley waonya kuhusu hali ngumu kiuchumi kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta | KTN News Kenya @ktnnews_kenya | 2.7K | Kenia | 83 |
| 18 | Rift Valley residents feel the pinch as fuel costs disrupt transport and business sectors | KTN News Kenya @ktnnews_kenya | 2.7K | Kenia | 80 |
| 15 | Wakazi wa Gatumbi waandamana kutokana na uharibifu wa vyuma | | 2.7K | Kenia | 81 |
| 13 | Wakulima kutoka Busia walalamikia uhaba wa mbolea eneo hilo | | 2.4K | Kenia | 81 |
| 16 | Pendekezo la sheria ya pensheni lataka Wakenya wachangie hata kupitia kukodi bidhaa | KTN News Kenya @ktnnews_kenya | 1.9K | Kenia | 81 |
| 12 | Mashirika ya kibinafsi yahamasisha vijana Nairobi kujiandikisha kupiga kura kabla ya uchaguzi | KTN News Kenya @ktnnews_kenya | 1.4K | Kenia | 81 |
| 4 | Wakaazi kutoka Machakos walalamikia kupanda kwa nauli wakisema maisha yamekuwa magumu zaidi | KTN News Kenya @ktnnews_kenya | 1.1K | Kenia | 83 |
| 20 | Kipkaren: Zaidi ya familia 100 zaachwa bila makazi baada ya kufurushwa kufuatia mzozo wa ardhi | | 615 | Kenia | 80 |
| 6 | Wazazi shule ya msingi ya Kutus wameeleza wasiwasi kuhusu hali mbovu ya vyoo | | 512 | Kenia | 82 |
| 5 | Wakulima kutoka kaunti ya Machakos wahimizwa kujiandaa kwa msimu wa upanzi | | 138 | Kenia | 82 |